Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima akihoji binti aliyepatwa na muujiza wake katika maombi, Yesu alisema Adui wa mtu ni wa
nyumbani mwake, EUGENIA PHILIPO mkazi wa mjin moshi, mwenye umri wa miaka 22,
alichukuliwa na mama yake mdogo na kuwekwa katika zizi la ng’ombe. Huko alikuwa
akifanya kazi ya kulisha ng’ombe na kukamua maziwa, huku chakula chake kikiwa ni nyama za watu na kunywa damu.
kama vile haikutosha mama wa binti huyu pia alikuwa akimtumikisha kwa njia ya kichawi
kwenda kukamua maziwa ya ng’ombe kwa
watu. Aliendelea kushuhudia kuwa ng’ombe wa majirani walikuwa hawatoi
maziwa kwa sababu ya kuibiwa kichawi na binti huyu. Yule mtenda miujiza ambaye alikirimiwa Jina lipitalo majina yote YESU
KRISTO leo kamtoa katika utumwa wa shetani na kumuweka huru.
|
No comments:
Post a Comment